MBUNGE ANNA KUSAIDIA VIJANA NA TAASISI.

Mbunge wa Jimbo la Nsimbo Mkoa wa Katavi,Anna Lupembe(wa pili kulia).
Na Mwandishi Wetu KTPC,Nsimbo.

Mbunge wa jimbo la Nsimbo Mkoa wa Katavi Anna Richard Lupembe akamilisha ziara yake ya kutembelea na kupokea kero zinazowasibu wananchi kwenye kata ya Katumba ambapo akiwa hapo amekabidhi vifaa vya michezo timu 24 za kata hiyo.

Katika ziara yake mbunge huyo ametembelea kata zote 12 za jimbo hilo kwa kutoa na kuwakabidhi vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi 30 milioni lengo likiwa nikuinua vipaji mbalimbali vya michenzo.

Aidha katika ziara hiyo mbunge amegawa mifuko ya saruji kwEnye shule za msingi, sekondari pamoja na zahanati,kuviinua vikundi vya wajasiliamali pamoja na kuwakatia bima ya afya iliyoboreshwa baadhi ya wananchi ili waweze kutibiwa huku akiahidi ifikapo april timu zote zitashiriki ktk ligi itakayoanza na washindi wakwanza na wapili watazawadiwa
.

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages