MBUNGE MALIKI AWAASA VIJANA KUTUMIA FEDHA ZA MIKOPO KUKUZA UCHUMI WAO.



Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi,Mathar Maliki?aliyesimama katikati).

 Na Mwandishi Wetu KTPC ,Mpanda.

Vijana wa Mkoa wa katavi wametakiwa kutumia fursa vizuri za fedha za Mikopo inayotolewa na Halmashauri ili iweze kuwainua kiuchumi kwa kuzielekeza fedha hizo kwenye shughuli za kilimo.

Vijana wa Mkoa wa katavi wametakiwa kutumia fursa vizuri za fedha za Mikopo inayotolewa na Halmashauri ili iweze kuwainua kiuchumi kwa kuzielekeza fedha hizo kwenye shughuli za kilimo.

Martha Makili,Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)Mkoa wa Katavi ameeleza hayo wakati alipokuwa akifungua Matawi ya UWT kata ya Uwanja wa Ndege Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi


 Ambapo amewataka vijana kuacha kutumia fedha hizo za mikopo  katika mambo ya starehe na badala yake fedha wazielekeze kwenye shughuri za ujasiriamali ili kukuza kipato chao na taifa kwa ujumla kwa  wakati tofauti amekabidhi zaidi ya sh milioni moja kwa vikundi viwili.

Hayo yanatokana na vikundi hivyo kusoma taarifa ya Maendeleo pamoja na changamoto wanazokumbana nazo kwenye vikundi vyao kuwa nikukosa mitaji ya kutosha pamoja na kutopata mikopo kwa wakati mwafaka.

Kwa upande wake mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Mpanda Tausi Ramadhani amewataka vijana kuendelea kukiimalisha chama na kujitokeza kufanya kazi za kukijenga pamoja na kukitetea.

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages