MATUKIO KATIBU MKUU WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI(SEKTA YA MIFUGO)

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Sekta ya Mifugo) Tixon Nzunda pamoja na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Usindikaji wa Maziwa Cha MSS-Nsimbo kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoa wa Katavi Marick Salum katika uwekaji Jiwe la Msingi kwenye Ujenzi wa kiwanda hicho unaoendelea.
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi(Sekta ya Mifugo)Tixon Nzunda akizungumza na Wataalam wa Mifugo na Uvuvi wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Kusini Magharibi ambapo amewataka Wataalam hao kuzingatia weledi,ujuzi na maarifa katika Utendaji kazi wao

Wataalam wa Mifugo na Uvuvi wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Kusini Magharibi wakiwa katika Picha pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi )Sekta ya Mifugo) Tixon Nzunda katika Ukumbi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi.

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Sekta ya Mifugo) Tixon Nzunda akizungumza na Wataalam wa Mifugo na Uvuvi  pamoja na wananchi waliohudhuria tendo la uwekwaji jiwe la Msingi katika eneo la Ujenzi wa  Kiwanda Cha Usindikaji wa Maziwa MSS-NSIMBO kilichopo Halmashauri ya Nsimbo Mkoa wa Katavi na kuwataka kuachana na ufugaji wa mazoea badala yake wafanye ufugaji wenye tija ili kupata faida.

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages