SHABIKI YANGA NDOA YAKE MATATANI BAADA YA SIMBA KUSHIDA DHIDI YA AL AHAL

 



Shabiki wa Yanga Sport Club anaye ishi maeneo ya stand ya mabus ya Mizengo Pinda Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavu,Sulipipi Mfupi (wa kwanza kulia) akiongeshwa maji machafu na mashabiki wa Simba Sport Club wa Manispaa hiyo.Baada ya kuwekeana ahadi kuwa kama Club ya Simba ikishinda wamwogeshe maji machafu kwenye shimo.

Na Mwandishi wetu KTPC,Mpanda.

Shabiki mmoja wa Yanga Sport Club anayejulikana kwa Sulipipi Mfupi anayeishi maeneo ya stand kuu wa mabus yaendayo mikoni ya Mizengo Pinda Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi.ameigia matatani leo hii baada ya club ya simba kushinda Goli moja katika michuano ya club bingwa Afrika dhidi ya Club ya nchini Misri ya Al Ahal.

Sulipipi aliweka ahadi kwa viapo kuwa kama match ya leo Simba atashinda,mashabiki wa Simba Sport Club wa mjini Mpanda wamfanye watakavyo kwani anauhakika kuwaSimba itapoteza mchezo huo.

Hamiss Maulid mkazi wa Mtaa wa Ilembo mjini Mpanda anasema kuwa imewalazimu kumwogesha maji machafu na kumkaragaza ndani ta shimo lenye maji mtani wao kama namna ya kukata kiu ya ahadi waliyopewa na shabiki wa club ya Yanga.






Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages