WAZAZI WANAOLEA WATOTO WA MAAJABU WA RANGI TOFAUTI

 


Na Mwandishi Wetu KTPC

Kila mwaka, familia nchini Marekani zinawaleta majumbani maelfu ya watoto wanaotoka ndani na nje ya nchi kuwalea. Kumleta nyumbani mtoto mgeni inahitaji kumjengea mazoea. Kumleta nyumbani mtoto wa rangi tofauti inaleta changamoto nyingine katika malezi hayo.

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages