TAKUKURU YAWAPANDISHA KIZIMBANI WATU WATATU.




Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Katavi,Christopher Nakua.

Na Mahanga the Great KTPC,Katavi

Taasisi ya Kupambana na Kuzui Rushwa (TAKUKUKURU) Mkoa Katavi imewapandisha Kizimbani Katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Watu 3 kujibu Tuhuma zinazowakabili. 


Taasisi ya Kupambana na Kuzui Rushwa (TAKUKUKURU) Mkoa Katavi imewapandisha Kizimbani Katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Watu 3 kujibu Tuhuma zinazowakabili.

Wawili  ikiwa ni Viongozi wa Amcos Mishamo,Pridance Anacredo na Varanto William kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka.

Na mmoja aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania ( TRC ) Juma Masudi kwa kosa la kujipatia kiasi Shilingi Milioni 37 na laki 5 isivyo halali ingali hakuwa mtumishi wa shirika hilo.


Christopher Nakua,Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Katavi amebainisha hayo kwa Waandishi wa Habari kwa Kipindi cha robo mwaka.



Aidha katika Kipindi cha Januari hadi Machi mwaka huu Takukuru imeokoa zaidi ya Kiasi cha zaidi ya Shilingi 132 na laki 1 na 72 elfu.


Kiasi cha Shilingi Milioni 80 kwa Wananchi binafsi ambapo Takukuru imefanikiwa kuzirejeshwa kwao baada ya kudhurumiwa.

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages