UPATIKANAJI WA WANYAMA KWA AJILI YA KITOWEO YAWA CHANGAMOTO.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi,Juma Homera akiwa na kwenye bucha la nyamapori.

Na Mahanga the Great KTPC,Katavi.

Wananchi Mkoani Katavi Wameendelea kupata huduma ya Nyama Pori kwa mara ya Baada ya kufanyika Uzinduzi tarehe 14 Mwezi huu huku upatikanaji wa wanyama porini ikitajwa kuwa Changamoto kubwa kwa Kipindi Hiki cha Masika. 

Gilbert Kaswiza ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kampuni ya Katavi Company LTD Wanaotoa Huduma ya kuuza nyama  ya pori Ambae anabainisha kuwepo kwa Changamoto ya upatikanaji wa Wanyamapori. 

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Zuberi Homera amewasihi Wananchi wa Mkoa huo kuendelea kuchangamkia  kitoweo na si kwenda kufanya ujangiri hifadhini.

Kwa upande Wao Wananchi wamefurahia kupata huduma ya Nyama Pori ambayo inauzwa kwa Shilingi elfu 10 hadi Elfu 12.

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages