WANAHABARI WAOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI KWA KUNYANYASWA KWAO.

Mgeni rasmi,Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi,Mh Haidary Sumury.
Na Mahanga the Great KTPC,Katavi.

Ikiwa leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Waandishi Mkoani Katavi wameadhimisha Siku hiyo huku ikitajwa Moja ya changamoto kubwa inayowakabili kulewa vitisho na wengine kuvunjiwa Camera pindi wawapo Kazini Jambo ambalo linawanyima uhuru wa kupata Habari. 

Baadhi ya Waandishi wa Habari katika Mahojiano Baada ya kumlizika kwa maadhimisho Hayo wameeleza kuwepo kwa Changamoto ya kupewa vitisho na wengine kuharibiwa vifaa
Awali akiwasilisha taarifa ya chama cha Waandishi wa Habari Irene Temu Ambae ni Mjumbe wa Katavi Press Club amebainisha changamoto hiyo.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho Hayo ni Mstahiki Meya Manispaa ya Mpanda ambapo amepongeza jitihada na Kazi nzuri zinazofanywa na waandishi wa Habari mkoani huma na kuahidi Halmashauri kutoa kiwanja kwa ajili ya Ujenzi wa ofisi ya CHAMA cha wa waandishi wa Habari mkoa Katavi.

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages