RAIS SAMIA AMTAJA DC TANGANYIKA JUU YA KUJIMILIKISHA ARDHI

Rais Samia Suluhu Hassain

Na Mwandishi Wetu KTPC,Dodoma.

Rais Samia Suluhu Hassain amewataka wa Mkuu wa Mikoa na Makatibu Tawala Mikoa kutokuwa sehemu ya migogoro ya ardhi kwa wananchi kama ilivyokuwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika (Hajamtaja jina) aliye jimilikisha maheka kadhaa.Amesema “DC kama huyo utamwacha wa nini?”

Rais Samia Suluhu Hassain amewataka wa Mkuu wa Mikoa na Makatibu Tawala Mikoa kutokuwa sehemu ya migogoro ya ardhi kwa wananchi kama ilivyokuwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika (Hajamtaja jina) aliye jimilikisha maheka kadhaa.Amesema “DC kama huyo utamwacha wa nini?’’

Kauli hiyo imetolewa leo wakati akiapisha wa Makatibu Tawala wa Mikoa aliwo wateua hivi karibuni.

Rais Samia amesema kuna migogoro mingi sana ya ardhi licha ya kufanya mabadiliko makubwa sana yakuondosha lakini bado ipo migogoro ya ardhi.

Amesema hatawavumilia RAC na MKUU WA  MKOA anaye jiingiza kwenye migogoro ya ardhi atakaye ingia kwenye mkoa na kakuta ardhi ya watu wenyewe wapo akajimilikisha na kuitumia yeye huku akiwaacha watu wanalalamika.

“umepelekwa kwa kazi maalumu usiende kujishirikisha kwenye mgogoro wa ardhi “ amesema Rais Samia.

Ameongeza “Kulikuwa na mgogoro moja huko wilaya ya Tanganyika kule ,DC kaenda kajimilikisha maheka kadhaa na Mungu kwamwitikia,anatakiwa kulipa asesi ya mazao halipi sasa DC huyo unamwacha wa nini?”

 

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages