IMAMU WA MSIKITI WA MAKANYAGIO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE CHA MIEZI 6.


Imamu wa Msikiti wa Makanyagio Mussa Hamis katikati akiwa ameficha sura yake.

Na Mwandishi wetu,KTPC Katavi.

Mahakawa ya wilaya ya mpanda mkoani katavi imemuhukumu Imamu wa Msikiti wa Mtaa wa Makanyagio,Mussa Hamisi (35) mkazi wa mtaa wa Kawajese kutumikia kifungo cha nje cha miezi sita baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumvunjia kamera mwandishi wa habari wa chanel Ten Pascal Katona wakati akiwa anatekeleza majukumu yake ya kazi.

Hukumu hiyo imetolewa na hakimu mkazi wa mahakama ya wilaya ya mpanda Mkoa wa Katavi Mpanda Rebeka Mwalusako.

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages