Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nsemulwa Manispaa ya Mpanda wakiwa katika picha ya pamoja na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Katavi Mara baada ya kupata elimu kwa vitendo kutoka kwa Waandishi wa vyombo mbalimbali vilivyopo Mkoa wa Katavi wakati wa ziara ya mafunzo kuhusu maswala ya Tasnia ya Habari waliyoifanya leo Desemba 8,2021 katika ofisi ya Chama cha Waandishi wa Habari.
Picha na Katavi Press club