KUTOKA MTAA WA MSASANI MANISPAA YA MPANDA

 Na Walter MguIuchuma

Baadhi ya Wananchi wa Mtaa wa Msasani Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wakifanya Usafi kwenye Makaburi ya Msasani ambayo walikuwa wamezuiliwa kuyatumia kwa ajili ya mazishi  toka Mwezi wa Sita Mwaka Jana



Wakina Mama wa Mtaa wa Msasani Manispaa ya Mpanda wakifanya Usafi katika eneo la Makaburi walilorudishiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania baada ya kusitishwa kufanya maziko katika eneo hilo.


Nguvu kazi ya Msasani wakisafisha eneo la Makaburi walilorudishiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania baada ya kuzuiliwa kutumia eneo hilo kwa maziko kwa kile kilichodaiwa kuwa makaburi hayo yapo  ndani ya eneo la Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa sasa wananchi hao kuanzia February 20,2022 Jeshi la wananchi limewarudishia kufanya maziko.

  


Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages