MATUKIO KANISANI

 Na Irene Temu, Katavi

Mwinjilisti wa Kanisa la KKKT Mpanda Mkoa wa Katavi Elia Sospeter akiwa na Mke wake Linda Shoo baada ya wote wawili kuuaga ukapera hapo Jana February 26,2022 ndoa iliyofungwa katika Kanisa la KKKT  Usharika wa Mpanda Mjini uliopo eneo la Mwangaza Manispaa ya Mpanda.

Mr and Mrs Elia Sospeter (katika) wakiwa na wadhamini wao(kushoto) Mr Yese Ishengoma na(kulia) Mkewe  Stahimili Chuma katika hafla iliyoandaliwa na Usharika Mama wa KKKT Mpanda Mjini kwa ajili ya kuwapongeza Watumishi hao wa Bwana.


Baadhi ya Watumishi wa Bwana wakiwemo Wachungaji,Wainjilisti pamoja na Waimbaji  kutoka Usharika wa Maandalizi Nazareth na Safina Kwaya wakitumbuiza katika sherehe ya Ndoa ya Mwinjilisti Elia Sospeter.

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages