KUTOKA VITALU VYA MICHE YA MIKOROSHO-MISUNKUMILO MANISPAA YA MPANDA



Baadhi ya wanafunzi kutoka Shule mbalimbali za Sekondari Mkoa wa Katavi wakikabidhiwa Miche ya Korosho na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko kwa ajili ya kwenda kupanda katika mashamba yao ya Shule na kuwaasa kuitunza Miche hiyo.

Mwandishi wa TBC Mkoa wa Katavi Hosea Cheyo akipokea Miche ya korosho kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko wakati alipokuwa akigawa kwa Wananchi wa Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kwenda kupanda mashambani mwao.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko akimkabidhi Elias Kazibure(Chifu) Miche ya Korosho kati ya Miche 500 atakayo chukua kwenda kupanda shambani kwake.
Katibu Tawala Msaidizi-Uchumi na Uzalishaji Mkoa wa Katavi Nehemiah James akitoa ufafanuzi kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko(wa pili kushoto) juu ya utunzaji wa Miche ya Korosho iliyopo eneo la Misunkumilo Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages