MHASIBU WA WILAYA YA MASWA AMEACHILIWA HURU NA MAHAKAMA.

Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu,Daudi Daniel Makoye (Kushoto) akiwa na Wakili ambaye alitolewa na TALGWA Adv,Ibrahimu David Zambi (Kulia). 

Mahakama ya Hakimu mkazi Bariadi tarehe 30/12/2022 imemuachia huru Ndg. Daudi Daniel Makoye ambaye ni  Mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu.

Mahakama ya Hakimu mkazi Bariadi tarehe 30/12/2022 imemuachia huru Ndg. Daudi Daniel Makoye ambaye ni  Mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu.

Daudi Daniel Makoye ambaye ni Mhasibu wa Halmashauri ya wilaya ya Maswa alikuwa akitetewa na TALGWU kupitia Wakili, Ibrahim David Zambi kama ilivyo utaratibu wa Chama katika kutetea wanachama wake.

Kupitia mtandao wa TALGWU imedhibitisha kuachiwa huru kwa mtumishi huyo na wadau mbalimbali katika sekta ya uhasibu wameutafasiri ushindi kuwa ni wa chama hicho ambacho kazi yake ni kutetea watumishi na masirahi yao.

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages