WAANDISHI WA HABARI KATAVI WAPONGEZWA KWA KUTOA HABARI ZENYE UMAKINI.


Sister Rose Sungura.
Na Paul Mathias,Mpanda.

Waandishi wa Habaari wa Mkoa wa Katavi wamepongezwa na  Mkuu wa Kituo cha kulelea watoto yatima cha Mtakatifu Yohane kinachosimamiwa na Sister Rose Sungura  mara baada ya kupokea vitu mbalimbali kutoka kwa mbunge wa jimbo la Mpanda Mjini Sebastiani Kapufi.

Waandishi wa Habaari wa Mkoa wa Katavi wamepongezwa na  Mkuu wa Kituo cha kulelea watoto yatima cha Mtakatifu Yohane kinachosimamiwa na Sister Rose Sungura  mara baada ya kupokea vitu mbalimbali kutoka kwa mbunge wa jimbo la Mpanda Mjini Sebastiani Kapufi

Sister Rose Sungura amesema anawashukuru waandishi wa habari kwa kuandika taarifa makini katika tasnia ya habarikwa kuitendea haki kwa kutoa  taarifa mbalimbali.

Amewakalibisha jamii ya watu wa Mpanda kwa kuendelea kukitembelea kituo hicho kwaajili ya kuwaona watoto wanaolelewa kituoni hapo.

Katika hatua nyingine amewatakia kheri ya Mwaka mpya waandishi wa habari na wanampanda kwa ujumla.

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages