Baadhi ya washiriki wa utangulizi wa mkutano wa nchi Saba Tajiri Duniani ambapo Sebastian Kapufi Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini nimiongoni mwa waliohudhuria kikao hicho Nchini Japan
Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini
Sebastini kapufi amehudhuria kikao cha Utangulizi cha Nchi Saba Tajiri Duniani
na ameweza kutoa maada kwenye kikao hicho kuhusu idadi ya watu na faida zake na
madhara yatokanyo na ugojwa wa uviko 19 kwa vijana.
Kikao hicho cha nchi Saba
Tajiri Duniani kinafanyika nchini Japan ambapo Mh Kapufi nimiongoni mwa
washiriki walipewa fursa ya kutoa maada kwenye kikao hicho mhimu Duniani kinacho
jadili mambo mbalimbali.
Mkutano huo unatajwa kuwa na muarobaini katika kutatua changamoto za vijana kwenye fursa za uwekezaji pamoja na mapambano ya ugojwa wa uviko 19.