KATIBU MWENEZI MPANDA LUPEMBE WANAMUONEA WIVU TU!.

Mbunge wa Jimbo la Nsimbo Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi,Anna Lupembe (Kulia) akiwa na Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Mpanda,Elias Mwanisawa (Kushoto)

Na George Mwigulu,Nsimbo.

Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi,Elias Mwanisawa amesema kuwa kazi ya kuwaletea maendeleo ya kweli niya chama hicho pekee hivyo wananchi wanapaswa kupuuza hoja za kupinga.

Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mpanda,Elias Mwanisawa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kanoge namba moja kata ya Nsimbo. 

Mwanisawa amesema hayo leo katika kijiji cha Kanoge namba moja Kata ya Nsimbo wakati wa ziara ya mbunge wa Jimbo la Nsimbo,Anna Lupembe ambapo amesema kuwa mbunge huyo kuna baadhi ya watu wanamuonea wivu kwa kazi kubwa ya kuwahudumia wananchi wa jimbo lake.

Tizama video hapa chini.




Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages