MBUNGE NSIMBO MSIKUBALI RAIS ATUKAMWE KWA AJILI YA BANDARI.

Mbunge wa jimbo la Nsimbo,Anna Lupembe akizungumza leo na wananchi wa Kata ya Uluwira ambapo amesisitiza suala la uwekezaji kwenye bandari linatija kwa taifa.

Na George Mwigulu,Nsimbo.

Mbunge wa Jimbo la Nsimbo wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi,Anna Lupembe amekemea watu ambao wanamtukana rais Samia Suluhu Hassain kwa sababu ya uwekezaji wa bandari ya Dar es salaam.

Baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mpanda waliohudhuria mkutano wa Mbunge wa Jimbo Nsimbo Anna Lupembe.

Amesema hayo leo katika Kata ya Uluwira wakati wa ziara yake ya kikazi Jimboni kwake ambapo amesema nia ya rais ni kuhakikisha ufanisi unaongezeka wa utendaji katika bandari ya Dar es salaam baada ya ambapo uliokuwepo umeshindwa kufanya

vizuri sana kwenye ukusanyaji wa mapato.

Tizama video hii hapa chini.




Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages