SABABU YA KUOA WANAWAKE WATATU KWA SIKU MOJA YAWEKWA WAZI


Na George Mwigulu,Katavi.

Mwanaume mmoja mkazi wa mtaa wa Kawasenje Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi amezua gumzo kubwa ndani ya manispaa hiyo baada ya kuoa wanawake watatu kwa siku moja.

Mwanaume huyo anayefahamika kwa jina la Athuman Yangeyange licha ya kusitaabisha umma binafsi ameelezea sababu ya kuoa wanawake hao watatu kwa siku mmoja.

Tizama video hii hapa chini.



Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages