SERIKALI HAIWEZI KUACHA KUJENGA MIRADI YA MAENDELEO NSIMBO.


Mbunge wa Jimbo la Nsimbo Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi,Anna Lupembe akizungumza na wananchi wa kitongoji cha Mgolokani,Kijiji cha Matandalani kata ya Sitalike leo ambapo amesema serikali ya awamu ya sita imedhamiria kuhakikisha inapeleka miradi ya maendeleo katika jimbo hilo.

Na George Mwigulu, Nsimbo.

Mbunge wa Jimbo la Nsimbo Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi,Anna Lupembe amesema kuwa serikali itaendelea kuimarisha miunndombinu mbalimbali kwa wananchi wa jimbo hilo ili wapate kuwa na maendeleo makubwa.

Mbunge huyo amesema hayo leo katika kitongoji cha Mgolokani ,Kijiji cha Matandalani Kata ya Sitalike halmashauri ya wilaya ya Nsimbo mkoani hapo wakati wa ziara yake ya kikazi ambapo anatumia muda huo kuzungumza na wananchi kama familia iliyomahala pamoja.

Tizama video hii chini.







 

 

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages