WAANDISHI WA HABARI KUSHINDANIA MILIONI 20

 

Je wewe ni mwandishi wa habari au mdau wa sekta ya habari nchini? Je ni mabadiliko gani ungependa kuyaona kwenye sekta hii?  

Msimu wa tatu wa Shindano la “Stories of Change 2023”unakupa nafasi ya kuandaa andiko linaloeleza mabadiliko yanayoweza kufanyika katika sekta ya Habari na jinsi yanavyoweza kuchochea Utawala Bora na Uwajibikaji chini.   

Unaweza kuwa miongoni mwa waandaaji wa andiko hilo la “Stories of Change” ili uwe miongoni mwa wanaowania kitita cha Tsh 20,000,000.  

 Maandiko yote yawasilishwe kabla ya Agosti 01, 2023 kupitia Jukwaa la “Stories Of Change 2023” lililopo ndani ya  https://www.jamiiforums.com/ Ili kujua vigezo na masharti ya shindano hili tafadhali bonyeza link kwenye Bio ya @JamiiForums



Kuna kitu kinakutatiza kuhusu Dira ya Maendeleo ya Tanzania? Huelewi Dira ya Maendeleo ni nini na upi umuhimu wake? Ondo shaka mjadala wa leo utakupatia majibu yote.

-

Ungana nasi katika mjadala huu utakaofanyika katika Twitter Space ya JamiiForums kupitia kiungo hiki leo Alhamisi, Juni 8, kuanzia Saa 12 Jioni mpaka Saa 1 usiku uongeze ufahamu juu ya jambo hili.

-

Kushiriki bonyeza: https://twitter.com/i/spaces/1rmGPkABkmmKN

-

#JamiiForums #StoriesOfChange #JFSpaces #Accountability #Governace #StoriesOfChange2023 #Uwajibikaji #UtawalaBora #JFToons


Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages