SAKATA LA BANDARI LAMWIBUA ANNA LUPEMBE ASHANGAA WANAOBEZA.

 

Mbunge wa Jimbo la Nsimbo Mkoa wa Katavi,Anna Lupembe akizungumza na wananchi wa kitongoji cha Songambele Kijiji cha Tumaini Kata ya Itenka leo ambapo aliwaeleza dhima ya serikali ya kuweka mwekezaji mpya kwenye bandari ya Da es salaam.


Na George Mwigulu,Nsimbo.

Mbunge wa Jimbo la Nsimbo,Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi,Anna Lupembe amesema uwekezaji mpya katika bandari ya Dar es salaam umelenga kuongeza ufanisi zaidi kwenye shughuri za bandari na kuongeza fedha nyingi zitokanazo na mapato.

Mbunge wa Jimbo hilo,Anna Lupembe amesem hay oleo katika kitongoji cha Songambele wakati akizungumza na wanachi baada ya kumaliza kukagua ujenzi wa shule mpya ya msingi Makomelo ambao unajengwa chini ya mradi wa Boost.

Tizama video hiyo chini.






Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages