WITO WATOLEWA KUHAMASISHA WAWEKEZAJI TANGANYIKA.

Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Katavi,Martha Mariki (kulia) akiwa kwenye kiwanda cha kukamua mafuta.

 Na Paul Mathias,Tanganyika.

Mbunge wa viti maalimu mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa wito kwa wawejezaji kuendelea kuwekeza katika Wilaya ya Tanganyika na Katavi Kwa ujumla.

Mbunge wa viti maalimu mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa wito Kwa wawejezaji kuendelea kuwekeza katika Wilaya ya Tanganyika na Katavi Kwa ujumla.

Ameyasema hayo wakati akiwa katika ziara yake ya kutembelea kata za mkoa wa Katavi alipofika katika Kata ya Bulamata na kutembelea kiwanda kidogo Cha kuchakata mafuta ya alizet

“tumieni  fursa hii kuwakalibisha wawekezaji katika wilaya hii ya Tanganyika na Mkoa wetu wa Katavi mwekezaji huyu ameona inafaa kuanzisha kiwanda hiki kidogo na kutoa fursa ya ajira Kwa vijana" amesema Martha.

Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Katavi,Martha Mariki akiweka alzeti kwenye kinu cha mashine ya kukamua mafuta.

Amesema serikali ipo katika mchakato wa kuhakkisha umeme unafika katika Kata hii Ili kuahisisha mzunguko wa kiuchumi.

Tunaona nguzo za tanesko zinasimikwa hapa muda si mrefu umeme utawashwa kwenye kata hii na kuahisisha kazi za kiwanda hiki"

Katika ziara hiyo Mbunge wa Viti maalumu Martha Mariki ameweza kutoa shilingi Laki Tano Kwa Wanawake wa UWT Kata ya Bulamata Ili kuwainua kiuchumi.

Search This Blog

CHAGUA HABARI

Pages